Thursday, February 27, 2020

...Baada ya kujisahau kwa miaka lukuki... Kishoka amerejea tena? mh... kapona???


Tuesday, April 16, 2013

UHUISHAJI (ANIMATION)

Kwa sasa namundaa Kishoka na wenzake kwa ajili ya uhuishaji au animation. Muda wowote atakuwa akonekana kwa namna nyingine. Ni katikajitihada za kukidhi maombi ya washabiki wa kudumu wa Kishoka. Nakaribisha maoni, ushauri toka kwenu.


Saturday, January 7, 2012

Kama baba...kama mwana...

Katuni hii ilikuwa inatoka kwenye gazeti la Majira Jumapili mwaka 2000, ilikuwa spesheli kwa ajili ya Ukurasa wa Watoto